CHEGENI ATENGULIWA KABLA YA KULA KIAPO CHA KUWA MKUU WA MKOA WA MARA
Rais Samia Suluhu amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dkt. Raphael Masunga Chegeni.
Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Mzee alikuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza.
Chegeni aliteuliwa July 28,2022 kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara akichukua nafasi ya Ally Hapi ambaye uteuzi wake ulitenguliwa.
Uapisho wa Meja Jenerali Mzee utafanyika Ikulu Dar es salaam August 01,2022.
CHEGENI ATENGULIWA KABLA YA KULA KIAPO CHA KUWA MKUU WA MKOA WA MARA
Reviewed by Fahadi Msuya
on
July 31, 2022
Rating:
Reviewed by Fahadi Msuya
on
July 31, 2022
Rating:


Post a Comment