Header AD

header ads

BALILE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA MALKIA ELIZABETH





Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Queen Elizabeth wa Uingereza katika Ubalozi wa Uingereza jijini Dar es Salaam, Tanzania Septemba 19, 2022. Katika picha ya Pili (kulia mwenye shati jeupe) ni Balozi wa Uingereza nchini Tanzania David Concar na maafisa wengine wa Ubalozi wakizungumza na Mwenyekiti wa TEF



BALILE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA MALKIA ELIZABETH BALILE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA MALKIA ELIZABETH Reviewed by Fahadi Msuya on September 19, 2022 Rating: 5