Header AD

header ads

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA : Serengeti Girls waanza vizuri na SFC




Serengeti Girls wametoka suluhu na timu ya SFC developments squad katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Snows, Totton Southampton Uingereza

Wachezaji wa Serengeti Girls wamekuwa wakijinoa kwa mazoezi ya gym katika hoteli ya Village hotel club, Southampton, Uingereza kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika nchini India kuanzia Oktoba 14 hadi 30 mwaka huu.



KUELEKEA KOMBE LA DUNIA : Serengeti Girls waanza vizuri na SFC KUELEKEA  KOMBE LA  DUNIA : Serengeti Girls waanza vizuri na SFC Reviewed by Fahadi Msuya on September 28, 2022 Rating: 5