NAIBU WAZIRI MKUU WA MOURITIUS AWASILI NCHINI KUHUDHURIA MKUTANO WA UNWTO UTAKAOFANYIKA JIJINI ARUSHA.
Naibu Waziri Mkuu wa Mauritius Mhe. Louis Steven Obeegadoo amewasili nchini Tanzania kuhudhuria Mkutano wa 65 wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UNWTO) Kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia kesho Oktoba 5 hadi 7, 2022 jijini Arusha.
Mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kiongozi huyo amepokelewa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, viongozi mbalimbali wa Serikali, UNWTO na wadau wa Utalii nchini.
NAIBU WAZIRI MKUU WA MOURITIUS AWASILI NCHINI KUHUDHURIA MKUTANO WA UNWTO UTAKAOFANYIKA JIJINI ARUSHA.
Reviewed by Fahadi Msuya
on
October 04, 2022
Rating:
Reviewed by Fahadi Msuya
on
October 04, 2022
Rating:

Post a Comment