Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana, leo tarehe 19 Oktoba, 2022 Jijini Dodoma,
amekutana na Menenjinenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi za Uhifadhi za Wizara ya Maliasili na Utalii kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Uhifadhi na uendelezaji wa Utalii nchini.
WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Reviewed by Fahadi Msuya
on
October 19, 2022
Rating: 5
Post a Comment