Header AD

header ads

ORYX GASI TANZANIA YAPELEKA MAFUNZO USALAMA WA GESI MKOANI KILIMANJARO



Mkurugenzi wa Kampuni ya Oryx Gas Tanzania Araman Benoite akitoa maelekezo ya namna ya kuwasha moto kwenye jiko la mtungi wa gesi ya Oryx kwa washiriki wa mafunzo ya usalama kuhusu nishati ya gesi ya kupikia yaliyofanyika kwa washiriki 700 kutoka kwenye Wilaya zote saba za mkoa wa Kilimanjaro.Mafunzo hayo yameandaliwa na Oryx Gas kwa kushirikiana na Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Kilimanjaro Shelly Raymond. Mbali ya mafunzo pia kampuni hiyo imekabidhi mitungi 700 na majiko yake kwa viongozi hao wa kata pamoja na wananchi.
ORYX GASI TANZANIA YAPELEKA MAFUNZO USALAMA WA GESI MKOANI KILIMANJARO ORYX GASI TANZANIA YAPELEKA MAFUNZO USALAMA WA GESI MKOANI KILIMANJARO Reviewed by Fahadi Msuya on December 29, 2022 Rating: 5