Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na viongozi wa Serikali na Malaigwanani wa jamii ya Kimasai kutoka Ngorongoro na maeneo jirani katika Ikulu ndogo ya Arusha, tarehe 01 Desemba 2024. 🇹🇿
Rais Samia Akutana na Malaigwanani wa Kimasai Katika Ikulu Ndogo ya Arusha
Reviewed by Fahadi Msuya
on
December 02, 2024
Rating: 5
Post a Comment