Header AD

header ads

Waziri Ridhiwani Kikwete atembelea Banda la NMB kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Mbeya


 


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Meneja Mahusiano Idara ya Wateja Binafsi - Luiana Keenja, alipotembelea Banda la NMB kwenye Maadhimisho ya wiki ya Vijana katika viwanja vya Soko la Uhindini jijini Mbeya katikati ni Meneja Mauzo Kanda Nyanda za Juu Ungandeka Mwakatage.

Waziri Ridhiwani Kikwete atembelea Banda la NMB kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Mbeya Waziri Ridhiwani Kikwete atembelea Banda la NMB kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Mbeya Reviewed by Fahadi Msuya on October 09, 2025 Rating: 5