Header AD

header ads

BRELA YASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA MARA


Afisa Sheria,  Bi. Neema Nyadzi kutoka Wakala wa Usajili na Biashara na Leseni (BRELA), akitoa usaidizi wa kitehama kwa Bw. Simon Kokinda namna ya kuhuisha kampuni yake alipotembelea banda la BRELA  kwenye Maonesho ya Biashara ya Mara International Business Expo 2022, yanayofanyika viwanja vya Shule ya Msingi ya Mukendo, katika mji wa Musoma, mkoani Mara. BRELA inaendelea kutoa huduma kwenye maonesho hayo hadi tarehe 11 Septemba, 2022.
Afisa Leseni,  Bw. Rajab Chambega kutoka Wakala wa Usajili na Biashara na Leseni (BRELA), akitoa usaidizi wa kitehama kwa Bw. Raymond Malima, namna ya kuhuisha jina la biashara  alipotembelea banda la BRELA  kwenye Maonesho ya Biashara ya Mara International Business Expo 2022, yanayofanyika viwanja vya Shule ya Msingi ya Mukendo, katika mji wa Musoma, mkoani Mara. BRELA inaendelea kutoa huduma kwenye maonesho hayo hadi tarehe 11 Septemba, 2022.


BRELA YASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA MARA BRELA YASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA MARA Reviewed by Fahadi Msuya on September 04, 2022 Rating: 5