NAIBU WAZIRI CHANDE AIPONGEZA NIC
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango ,Mhe. Hamad Hassan Chande amelipongeza shirika la Bima la Taifa NIC kwa utendaji hasa katika eneo la kulipa madai kwa wakati.
Kauli hiyo imetolewa jijini Arusha katika Mkutano wa Mwaka wa Wakaguzi wa Ndani alipotembelea banda la NIC.
NIC Insurance imeshiriki mkutano huo kutanua wigo wa biashara na kujenga mahusiano ya kibiashara na sekta wakaguzi wa ndani katika kukuza uchumi wa Taifa.
NAIBU WAZIRI CHANDE AIPONGEZA NIC
Reviewed by Fahadi Msuya
on
September 12, 2022
Rating:
Reviewed by Fahadi Msuya
on
September 12, 2022
Rating:




Post a Comment