Header AD

header ads

WAZIRI BALOZI DKT CHANA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA MAKUMBUSHO YA TAIFA.




Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi  ya Makumbusho ya Taifa Dkt. Oswald Masebo ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili namna ya kuendelea kuliboresha Shirika la Makumbusho ya Taifa ili liendelee kutoa huduma bora kwa wananchi.

Katika kikao hicho kilichofanyika Jijini Dodoma, Dkt Masebo aliambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt Noel Lwoga
WAZIRI BALOZI DKT CHANA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA MAKUMBUSHO YA TAIFA. WAZIRI BALOZI DKT CHANA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA MAKUMBUSHO YA TAIFA. Reviewed by Fahadi Msuya on September 05, 2022 Rating: 5