RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango viongozi wengine wa Chama, Serikali, pamoja na Waumini wa Kanisa hilo wakiwa kwenye Misa Takatifu ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki, Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni Ofisini kwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Bukoba Methodius Kilaini mara baada ya Misa Takatifu ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki, Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022
RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA
Reviewed by Fahadi Msuya
on
October 14, 2022
Rating:
Reviewed by Fahadi Msuya
on
October 14, 2022
Rating:



Post a Comment