WAZIRI BALOZI DKT. CHANA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MHE. FARANISI WA ZIMBABWE JIJINI ARUSHA
Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Leo tarehe 6 Octoba 2022, amekutana na Katibu Mkuu Wizara ya Mazingira Hali ya Hewa, Utalii na Ukarimu wa nchini Zimbabwe Mhe. Balozi Raphael Faranisi na kufanya mazungumzo juu ya kuhimarisha mashirikiano katika ya Sekta ya Maliasili na Utalii baina ya nchi hizo mbili.
Mkutano huo uliifanyika Jijini Arusha, umeudhuriwa pia na Kaimu Mkurugenzi wa Utalii nchini Bw. Richi Wandwi, Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA). Mabula Misungwi Nyanda, Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini. Bw. Filex John na Maafisa wa Serikali ya Zimbabwe.
Viongozi hao wanaudhuria mkutano wa 65 wa UNWTO Kanda ya Afrika unaofanyika Jijini Arusha.
WAZIRI BALOZI DKT. CHANA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MHE. FARANISI WA ZIMBABWE JIJINI ARUSHA
Reviewed by Fahadi Msuya
on
October 06, 2022
Rating:
Reviewed by Fahadi Msuya
on
October 06, 2022
Rating:




Post a Comment