WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA NA RC MONGELA WAKUTANA NA KAMATI YA MAANDALIZI YA MKUTANO WA KIMATAIFA WA UNWTO .
Zikiwa zimebaki takribani siku mbili kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kimataifa wa 65 wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani Kanda ya Afrika (UNWTO) - CAF utakaofanyika jijini Arusha Oktoba 5 hadi 7, 2022, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Arusha leo Oktoba 3, 2022 wa amekutana na Kamati ya maandalizi ya Mkutano huo ya Wizara ya Maliasili na Utalii ili kupokea taarifa ya maandalizi ya mkutano huo utakaofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA NA RC MONGELA WAKUTANA NA KAMATI YA MAANDALIZI YA MKUTANO WA KIMATAIFA WA UNWTO .
Reviewed by Fahadi Msuya
on
October 03, 2022
Rating:
Reviewed by Fahadi Msuya
on
October 03, 2022
Rating:


Post a Comment