Tanzania na Tunisia zajadili Michezo.
Na John Mapepele
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa na Balozi wa Tunisia nchini Salim Afsa wamekutana na kujadiliana masuala mbalimbali ya sekta ya Michezo.
Mara baada mazungumzo haya wamewaongoza maelfu ya watanzania kutazama mechi ya Kombe Shirikisho la Afrika baina ya timu ya Yanga na Africain ya Tunisia.
Mchezo huo umechezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo timu zote zimetoka sare ya 0-0
Tanzania na Tunisia zajadili Michezo.
Reviewed by Fahadi Msuya
on
November 03, 2022
Rating:
Reviewed by Fahadi Msuya
on
November 03, 2022
Rating:



Post a Comment