VIKOSI VYA KUZIMA MOTO MLIMA KILIMANJARO VYAENDELEA KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, akiwa Mkoani Kilimanjaro, amepokea taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Eliamani Sedoyeka kuhusu maendeleo ya zoezi la uzimaji moto katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro kupitia picha za angani (Satelite Image) zinazoonesha mafanikio makubwa ya zoezi la uzimaji wa Moto katika mlima huo.
VIKOSI VYA KUZIMA MOTO MLIMA KILIMANJARO VYAENDELEA KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA
Reviewed by Fahadi Msuya
on
November 02, 2022
Rating:
Reviewed by Fahadi Msuya
on
November 02, 2022
Rating:




Post a Comment