Timu ya Friends of Tulia Trust yashindwa kutamba kwenye ligi ya Sodo
Na Beatrice Kaiza
TIMU ya Friends of Tulia trust wachezea kichapo na kishindwa kuendelea kwenye ligi ya Sodo 4 kwa upande wa Wanawake na Wanaume.
Nakushindwa kufuzu kuendelea katika michuano hivyo kutoka kwa timu ya Espanyol.
Akizungumza na waandishi wa habari, leo March 01, 2023, Afisa Habari wa Kampuni ya Betika Juvenalius Rugambwa amesema kuwa lengo la mchezo wa Sodo 4 Climate ni kutuza mazingira na kuweka jiji safi hususani maeneo ya Fukwe za Bahari Coco Beach.
Sodo upande wa wanawake Friends of tulia 1-2 Espanyol, katika sodo wanaume friends of Tulia Trust 0-2 Espanyol. Hivyo Friends of tulia trust tayari wameshindwa kufuzu mashindano hayo ".
Timu ya Friends of Tulia Trust yashindwa kutamba kwenye ligi ya Sodo
Reviewed by Fahadi Msuya
on
March 01, 2023
Rating:
Reviewed by Fahadi Msuya
on
March 01, 2023
Rating:


Post a Comment