CHAMELEONE TAYARI KUKIWASHA 'SERENGETILITE OKTOBAFEST' DAR

Msanii mkongwe wa muziki Jose Chameleone Amewasili Nchini Tanzania kwaajili ya Tamasha kubwa la October Fest litakalofanyika coco Beach jijini Dar es salaam

Tamasha hilo la "SERENGETI LITE OKTOBA FEST" litajumuisha wasanii lukuki kutoka hapa Nchini Tanzania wakiongozwa na Alikiba, billinas, Chino kidd, Gnako na Msanii kutoka nchini kenya Nyamari ongegu "Nyashiski pamoja na Jose chameleone
NextGen Digital... Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...