Header AD

header ads

Rais Samia Akutana na Manusura wa Ajali ya Basi la Shule ya Lucky Vincent

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Sadhia Abdallah_ wapili kulia Doreen Mshana wa kwanza (kulia)_ Wilson Tarimo wapili (kushoto), watoto hawa watatu ni manusura wa ajali ya basi la shule ya msingi Lucky Vincent iliyoua wanafunzi 32 na dereva mmoja mnamo mei 6, 2017 eneo la Rothia wilayani Karatu Mkoani Arusha


Mwenyezi Mungu amewajalia heri wamekuwa wakubwa sasa wapo nchini Marekani wakiendelea na masomo ya Elimu ya Juu katika Vyuo Vikuu tofauti.







Rais Samia Akutana na Manusura wa Ajali ya Basi la Shule ya Lucky Vincent Rais Samia Akutana na Manusura wa Ajali ya Basi la Shule ya Lucky Vincent Reviewed by Fahadi Msuya on November 01, 2024 Rating: 5