CHADEMA WAMJIBU LISSU ANATUMIKA NA CCM



Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa. - Benson Kigaila

NextGen Digital... Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...