Header AD

header ads

KATIKA KUADHIMISHA NYERERE DAY UWONGOZI WA SHULE YA ALTAS WAANDAA MARIATHON YA KUSADIA JAMII.



Na Dominic Haule 

Katika Kuadhimisha Kumbukumbu ya kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere Shule ya Altas imeandaa mbio za Mariathon zenye lengo kuchangia huduma za kiafya ya Jamii katika wilaya ya Kondoni.

Hayo amesema Jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Shule ya s iliyopo Madale Bwana Almanus Rugambwa Wakati akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Maandalizi ya mbio hizo ambazo zitakazo tarajia kufanyakika Tarehe 14/10/2022 siki ya Ijumaa wiki hii.


Bwana Rugambwa Amewasihi Watanzania wote wenye Mapenzi mema kuendelea Kujitokeza katika mbio hizo ili kuhakikisha Wanashiriki kusadia jamii hasa katika huduma Muhimu za Kijami za kiafya kwa akina mama na watoto.

Naye Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi ya Mbio za Marathon Shule ya Atlas Bi.Annah Lupemba amesema kuwa katika kuhakikisha Usalama kwa wakimbiaji kamati ya a Maandalizi imejipanga kabla na baada ya kuanza mbio kwa kupima vizuri umbali wa mbio zao 5k _10K na 21 pamoja na kuweka Vituo vya hudumaza Kutosha yaana Water points, Ulinzi wa uhakika na Watalamu mbalimbali kwajil ya kuhakikisha mbio inaweza kufaa katika siku hiyo.

Hata hivyo Amesema kuwa amesema kuwa wanategemea mbio hizo kuhudhuliwa na watu tofauti na watu Mbali Mbali Watoto,watu wazima Wanafunzi kutoka maeneo tofauti vikundi vya wakimbiaji watu mashuhuli Makundi maalumu nk.


Aidha Bi Lupemba Usajili wa mbio hizo unaendeleaje Katika shule za Altas yaan primary school madale,Atlas Primary school Ubungo na Altas Secondary School Madale pamoja na Mliman city katika maeneo yote hayo ukisha jisajil utaondoka na kifaa chako Cha kumkimbilia siku ya Tarehe 14/ 10/2022.

Ameongeza kuwa kamati ya Maandalizi ya Uongozi wa shule ya Altas kama mbena maono wa tukio nzima kwa miaka mi nne mifululizo imewashilukuru wadau wanao waunga mkono katika kufanikisha tukio hilo wakiwemo time fm ,Majina ya kunywa ya Afya,Pamoja na Dar fresh na kuwaombea wadau Wengine kuendelea Kujitokeza kusadia jamii.
KATIKA KUADHIMISHA NYERERE DAY UWONGOZI WA SHULE YA ALTAS WAANDAA MARIATHON YA KUSADIA JAMII. KATIKA KUADHIMISHA NYERERE DAY UWONGOZI WA SHULE YA ALTAS WAANDAA MARIATHON YA KUSADIA JAMII. Reviewed by Fahadi Msuya on October 11, 2022 Rating: 5